Idara

Fedha

Idara ya Fedha inahusika na uangalinzi mzima wa fedha zinzzoletwa na Hazina kwa matumizi mbalimbali ya ofisi, kufanya malipo mbalimbali pamoja na kukusanya malipo yanayolipwa na wadau wa Utalii kwa ajili kushiriki maonesho mbalimbali ya Utalii.

Utafiti na Maendeleo

Hii ni Idara inayoshughulika na kufanya tafiti za kimasoko na tafiti nyingine mbalimbali

Masoko

Idara ya Masomo ina jukumu la kutangaza shughuli na mwelekeo wa Shirika. Idara hii inasimamia na kuratibu shughuli zote za utangazaji wa vivutio vya utalii ikiwa ni pamoja kuandaa machapisho mbalimbali ya utangazaji.