Maswali

Muda mzuri wkuon Nyumbu wakihama kutokaSerengeti ni kuanzia June hadi Julai

Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika iliyoko ukanda wa Afrika Mashariki. Kwa upande wa kaskazini imepakana na nchi za Kenya na Uganga, magharibi imepakana na nchi za Burundi, Rwanda, DRC na Zambia, Kusini imepakana na nchi za Malawi na Msumbiji, na kwa upandi wa mashariki imepakana na Bahari ya Hindi.

Ukanda wa Kusini $20

Ukanda wa Kaskazini $50

Mudamzuri wa kutembelea Tanzania ni kati ya mwezi June na Oktoba.