Habari

Imewekwa: Nov, 08 2018

TTB YASHIRIKI ONESHO LA CIIE NCHINI CHINA.

News Images

Katika juhudi zake za kujipenyeza katka soko la CHina Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikina na waaau wa sekta ya uatalii na madini wanashiriki katika onesho la kubwa la Biashara liitwalo China International Impact Expo (CIIE) lililondliwa kwa mara ya kwanza na Serrikali ya Chin linalofanyika katika jiji la Shanghi chini humo.