Utalii wa Utamaduni

Watalii hutembelea miradi ya utalii wa utamaduni viijini na kujionea jinsi wananchi katika jamii zao wanvyoendesha maisha yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na vyakula vyao vya jadi, michezo, matibabu,ngomaa z jadi nk ambavyo hivi vyote ni vivutio vya utalii wa utamaduni.